NEWS SPORTS

Nazareth Upete awapongeza wadau baada ya Simba kutawazwa Ubingwa Ligini Tanzania.

Klabu ya Simba mnamo Jumapili 28 Juni iltawazwa mabingwa wa Ligi kuu ya Tanzania Bara baada ya kufikisha alama 79 ambazo haziwezi kufikiwa na timu yoyote kwa michezo sita iliyosalia. Ni pongezi kwao kwa ubingwa . Tuangazie maeneo yaliyoipa ubingwa Simba msimu huu: SENZO MBATHA. “Huyu ni mtendaji mkuu wa klabu hii na huu ni […]

NEWS SPORTS

Mashabiki wa Liverpool washerehekea Ubingwa Baada ya miaka 30.

Liverpool wametwaa ubingwa wa Ligi kuu nchini Uingereza wakiwa sebuleni wanakula bisi tu wakiwatazama Chelsea wakiwastahilisha adhimisho la ubingwa huo uliosubiriwa kwa miaka 30… Ubingwa uliotaka kutiwa doa na Corona lakini ukiwa ni furaha ya dunia ya wanamichezo🙌 Furaha ya dunia ya soka!? Ndio, wanamichezo wanapenda ushindani na kusingekua na msisimko kama City angetwaa kwa […]

NEWS SPORTS

FRAGA KAMA MCHEZAJI WA SIMBA KULIKO KAMA MBRAZIL NA KURA YA MODRIC.

Mnamo mwaka 2012 kiungo wa Real Madrid Luca Modric alipata asilimia 32.2 ya kura za usajili “wa hovyo zaidi” kwenye La liga akimpiku Alexander Song aliyesajiliwa na klabu ya Barcelona ikiwa Luca alikuwa na wastani wa kucheza dakika 38 tu mpaka mwezi Disemba kuelekea sikukuu za mwisho wa mwaka. Wakati aliporudi kujiunga na timu ya […]

NEWS SPORTS

SIMBA THIDI YA RUVU SHOOTING!? OOOH!! MWACHE MASSAU ATAMBE.

“Classic and Competitive game” (kwa sauti ya mwalimu Kashasha). Ndio mechi yenye hadhi na ushindani wa kutosha na yenye maana halisi ya nidhamu ya kiufundi na kiuchezaji kwa dakika zote 90. Tumefurahia mchezo wa soka.Shaaban Mayanga!? Yes, kocha huyu ndiye “man of the show”. Ndiye aliyeamua mechi Ile kwa kuwaruhusu wachezaji wake wa Ruvu wafunguke […]

NEWS SPORTS

Frederico Rodriguez, kiungo wa kati klabuni Manchester United anavyotesa kwenye ligi ya EPL.

Ukiitaja Manchester United kwa Kipindi cha msimu huu na wachezaji wake waliocheza kwa kiwango cha juu hutasita kulitaja jina la mbrazili Frederico Rodrigues maarufu kama Fred akivalia jezi nambari 17 mgongoni. Yupo na alikua kwenye kiwango bora sana tofauti na ilivyoonekana mwanzo kwamba ni hasara ya makusudi kwa klabu ya United na hata mkufunzi Jose […]

GLOBAL NEWS SPORTS

Inside EPL’s latest transfer romours a week to restarting of the league.

English Premier League 2019 – 2020 is set to restart on June 17, after three months break following the outbreak of Covid 19 that affected a number of the leagues globally. Unlike in the previous games, EPL clubs will be playing behind closed doors as per the directives issued in an attempt to contain the […]

NEWS SPORTS

LUIS MIQUISSONE!? USAJILI BORA SANA KWA SIMBA.

Ni mchezaji mzuri na mnyumbulifu sana… Ana kasi na aliwajua wachezaji wangu namna ya kucheza nao ingawa nasi tulijitahidi kumdhibiti tulivyoweza kwani tulishajua ni mtu hatari” ni maneno ya Patrick Aussems kocha wa zamani wa klabu ya Simba akimzungumzia kiungo mshambulizi LUIS MIQUISSONE. Mara baada ya mchezo wao na UD Songo wa kombe la Ligi […]

GLOBAL NEWS SPORTS

UFICHUZI: Kwa nini Messi na Ronaldo sio Pele na Maradona.

Tupo katika dunia ya Ubishani. Dunia ipo katika mjadala wa je, ni Messi,Ronaldo,Maradona au Pelle ndio wachezaji bora kuwahi kutokea ulimwenguni!? Achana na Zinadine Zidane, Ronaldinho Gaucho, Michel Platin, Bebeto na Romario ama Ronaldo De Lima… Hawa nao wana daraja lao. Nyota wa zamani wa Brazil mshambuliaji Ronaldo De Lima |PICHA HISANI| Mjadala huu umekua […]

GLOBAL NEWS SPORTS

Kutana naye Simon Msuva, Mtanzania mwenye roho ya Amerika ya Kusini.

Tazama hiyo picha ya Simon Msuva! Bila shaka inazungumza sana…. Inaweza ikulize ikiwa itapata matokeo tofauti na hisia hizo… Inaweza ikufurahishe kwa utayari na hisia ilizoweka kuelekea kwenye shughuli inayofuata… Ndio, huyu ndiye Simon Msuva aliyeng’aa ligi ya Tanzania bara kwa misimu 3+ kisha akaenda ng’ambo na bado anafanya vizuri kwa sasa akiitumikia klabu ya […]

NEWS SPORTS

Meddie Kagera aongoza kwa kufunga mabao ligini Tanzania.

Meddie Kagere, straika wa shughuli wa klabu ya Simba ya Tanzania mwenye uchu wa kufunga kila wakati anaendelea kuongoza usukani wa orodha ya wafungaji wakati huu Ligi ikiwa imesimama akiwa na mabao 19… Ndio, ni namba 9 wa ukweli na wa kipekee zaidi nchini kwa sasa… Ni namba 9 flan ya kizamani kama tuwaonavyo nyota […]