Tulidhani ni wenzetu, wakombozi wa taifa Tukawapa kura zetu, kwazo wazizibe nyufa Kumbe walaji wa watu,…
Category: SHAIRI LA WIKI.
𝐊𝐈𝐅𝐎 𝐂𝐇𝐀 𝐔𝐏𝐈𝐍𝐙𝐀𝐍𝐈
𝐌𝐖𝐀𝐍𝐀𝐇𝐀𝐁𝐀𝐑𝐈 Kipindi kinaganaga,nanga sasa kimeng’owa Mtama leo kumwaga,tumwage bila shakawa Mambo kinagaubaga,yote kuyaweka sawa Mgeni wetu…
SHARI LA WIKI: RUDINI KASOME
Naliamba nimepusa, katika luja kazama, Ya dunia mengi hasa, so utani waama, Nawosia hivi sasa, inukeni…
ADHABU ISIWE UNYAMA.
Naliketi nikawazia, ikawa bahari ya luja. Kwa makini kafuatilia, nisione hasa haja. Punde Wazo kanijia, wajuze…
UZAWA WA UJOLI
Mumunye wa ukubwani,mwana wa hiki kizazi Hafaulu maishani,kuishi hana ujuzi Mlemavu akilini,hataki kazi hawezi Huu uzawa…
SAUTI YA HAKI: WACHENI DHULUMA POLISI.
Usalama mwadumisha, ndo jukumu la kazi. Dhuluma iwe la hasha, pambaneni na wizi. Mateso mwawapasha, wengine…
WALEVI KUPIGWA KUMBO
Pigo nalo wamepata, wengine kunusurika. Vitapungua vita , boma nyingi taimarika. Habari nayo kapata, wamewekewa mipaka.…
KWETU WAPO
Hapa kwetu Mirungine,kunao wabaya watu Wasio kazi nyingine,yao kusema ya watu Wapo wazuri wengine,kukera hawadhubutu Wabaya…
JOSEPHAT LAKA: NITOE GEREZANI
Nimebanwa kabanika, kutoroka balaa. Heri basi kuandika, imenizidia tamaa. Ni lini nitapatoka, nifikie na jamaa. Nitoe…
TEKNOLOJIA YATUPONZA
Imelemaza dunia,teknoloji yatuponza Mitandao twatumia,ubongo inatufyonza Hatuwezi fikiria,akili imepumbaza Teknoloji yatuponza,dunia imelemaza. Uzembe metuingiya,kazi zimetulemea Njaa…