POEM

TUMCHANGIE ASOME.

Mbiu hino ya mgambo, kwa sauti kuu yalia. Bila shaka lipo jambo, ulonacho changia. Tujitome kwenye chombo, mkonowe shikilia. Tumchangie asome, MUTUKU LAZARO. Nyota yake thiologia, atufanyie mahubiri. Kwa moyo saidia, na mibaraka subiri. Ata kama ni mia, itakuwa ni fahari. Tumchangie asome, MUTUKU LAZARO. Ni Mpole wa moyo, tena mwimgi wa furaha. Tusiwe basi […]

POEM

TWAKUPENDA MWALIMU

TWAKUPENDA MWALIMU. Ni furaha moyoni, nikumbukapo nyakati. Zile zama shuleni, mwalimu wetu wa dhati. Aliboreka ata afisini, jinale Bwana MUTETI. Twakupenda mwalimu, barikiwa daima. Alidumisha nidhamu, upendo nayo amani. Alipenda yake kalamu, milele nitamthamini. Alifanya majukumu, vyema kutoka moyoni. Twakupenda mwalimu, barikiwa daima. Tabasamu aliweka, kila mara darasani. La heri nazo fanaka, tutakuweka duani. Uwe […]

LIFESTYLE POEM

SHAIRI : HARUSI SI WINGI

Huvutia kwao wengi, hino sherehe tajika. Vyakula huwa ni vingi, nao watu hukatika. Sitaje mitindo mingi, huwa dhahiri hakika. Harusi si wingi, ya wawili wapenzi. Taswira ya ko Edeni, nelezeni walokwako. Wetu Mola naamini, naye Hawa alikwako. Sikizeni kwa makini, na Adamu sokimako. Harusi si wingi, ya wawili wapenzi. Kiunganishi maombi, naye Mola ni shahidi. […]