LIFESTYLE POEM

SHAIRI : HARUSI SI WINGI

Huvutia kwao wengi, hino sherehe tajika. Vyakula huwa ni vingi, nao watu hukatika. Sitaje mitindo mingi, huwa dhahiri hakika. Harusi si wingi, ya wawili wapenzi. Taswira ya ko Edeni, nelezeni walokwako. Wetu Mola naamini, naye Hawa alikwako. Sikizeni kwa makini, na Adamu sokimako. Harusi si wingi, ya wawili wapenzi. Kiunganishi maombi, naye Mola ni shahidi. […]