Peter is a journalist, Digital content provider, author and a motivational speaker Follow him on Twitter and LinkedIn. Click on the icons below.
NEWS SPORTS

Nazareth Upete awapongeza wadau baada ya Simba kutawazwa Ubingwa Ligini Tanzania.

Klabu ya Simba mnamo Jumapili 28 Juni iltawazwa mabingwa wa Ligi kuu ya Tanzania Bara baada ya kufikisha alama 79 ambazo haziwezi kufikiwa na timu yoyote kwa michezo sita iliyosalia. Ni pongezi kwao kwa ubingwa . Tuangazie maeneo yaliyoipa ubingwa Simba msimu huu: SENZO MBATHA. “Huyu ni mtendaji mkuu wa klabu hii na huu ni […]

NEWS SPORTS

Mashabiki wa Liverpool washerehekea Ubingwa Baada ya miaka 30.

Liverpool wametwaa ubingwa wa Ligi kuu nchini Uingereza wakiwa sebuleni wanakula bisi tu wakiwatazama Chelsea wakiwastahilisha adhimisho la ubingwa huo uliosubiriwa kwa miaka 30… Ubingwa uliotaka kutiwa doa na Corona lakini ukiwa ni furaha ya dunia ya wanamichezo🙌 Furaha ya dunia ya soka!? Ndio, wanamichezo wanapenda ushindani na kusingekua na msisimko kama City angetwaa kwa […]

NEWS SPORTS

FRAGA KAMA MCHEZAJI WA SIMBA KULIKO KAMA MBRAZIL NA KURA YA MODRIC.

Mnamo mwaka 2012 kiungo wa Real Madrid Luca Modric alipata asilimia 32.2 ya kura za usajili “wa hovyo zaidi” kwenye La liga akimpiku Alexander Song aliyesajiliwa na klabu ya Barcelona ikiwa Luca alikuwa na wastani wa kucheza dakika 38 tu mpaka mwezi Disemba kuelekea sikukuu za mwisho wa mwaka. Wakati aliporudi kujiunga na timu ya […]

NEWS SPORTS

SIMBA THIDI YA RUVU SHOOTING!? OOOH!! MWACHE MASSAU ATAMBE.

“Classic and Competitive game” (kwa sauti ya mwalimu Kashasha). Ndio mechi yenye hadhi na ushindani wa kutosha na yenye maana halisi ya nidhamu ya kiufundi na kiuchezaji kwa dakika zote 90. Tumefurahia mchezo wa soka.Shaaban Mayanga!? Yes, kocha huyu ndiye “man of the show”. Ndiye aliyeamua mechi Ile kwa kuwaruhusu wachezaji wake wa Ruvu wafunguke […]

NEWS SPORTS

Frederico Rodriguez, kiungo wa kati klabuni Manchester United anavyotesa kwenye ligi ya EPL.

Ukiitaja Manchester United kwa Kipindi cha msimu huu na wachezaji wake waliocheza kwa kiwango cha juu hutasita kulitaja jina la mbrazili Frederico Rodrigues maarufu kama Fred akivalia jezi nambari 17 mgongoni. Yupo na alikua kwenye kiwango bora sana tofauti na ilivyoonekana mwanzo kwamba ni hasara ya makusudi kwa klabu ya United na hata mkufunzi Jose […]