Peter is a journalist, Digital content provider, author and a motivational speaker Follow him on Twitter and LinkedIn. Click on the icons below.
SHAIRI LA WIKI.

MALENGA JOSPHAT LAKA: “HATARI MASHINANI.”

Sikizeni kwa makini, imeanza safari. Imetoka HATARI MASHINANI., korona ni dhahiri. Vitavua sikioni, naonya kwa shairi. Hatari mashinani, yakodolea macho. Magari yaja ko bara, tahadhari sijute. Sisitizo tena mara, safika isikupate. Imevuka mto Mara, sijishike upwete. Hatari mashinani, yakodolea macho. Wamejaa kinanyanya, sisahau mababu. Serikali kwisha onya, sijiweke taabu. Kazi yangu keshafanya, nasubiri jawabu. Hatari […]

POEM

RAFIKI WANGU WA SIRI.

Meishi naye kwa muda, na bado upo usena. Sikiza kaka na dada, nimeamua kunena. Zaidi zingatia mada, penzi lake naliona. Rafiki wangu wa siri, Mola aleniumba. Atuita kila Mara, bado tusijafika kilele. Hana nyingi papara, au zile kelele. Tukimbie kama swara, uzimani wa milele. Rafiki wangu wa siri, Mola aleniumba. Ata bila hivyo vyeti, maishani […]

POEM

TUMCHANGIE ASOME.

Mbiu hino ya mgambo, kwa sauti kuu yalia. Bila shaka lipo jambo, ulonacho changia. Tujitome kwenye chombo, mkonowe shikilia. Tumchangie asome, MUTUKU LAZARO. Nyota yake thiologia, atufanyie mahubiri. Kwa moyo saidia, na mibaraka subiri. Ata kama ni mia, itakuwa ni fahari. Tumchangie asome, MUTUKU LAZARO. Ni Mpole wa moyo, tena mwimgi wa furaha. Tusiwe basi […]

POEM

TWAKUPENDA MWALIMU

TWAKUPENDA MWALIMU. Ni furaha moyoni, nikumbukapo nyakati. Zile zama shuleni, mwalimu wetu wa dhati. Aliboreka ata afisini, jinale Bwana MUTETI. Twakupenda mwalimu, barikiwa daima. Alidumisha nidhamu, upendo nayo amani. Alipenda yake kalamu, milele nitamthamini. Alifanya majukumu, vyema kutoka moyoni. Twakupenda mwalimu, barikiwa daima. Tabasamu aliweka, kila mara darasani. La heri nazo fanaka, tutakuweka duani. Uwe […]

LIFESTYLE POEM

SHAIRI : HARUSI SI WINGI

Huvutia kwao wengi, hino sherehe tajika. Vyakula huwa ni vingi, nao watu hukatika. Sitaje mitindo mingi, huwa dhahiri hakika. Harusi si wingi, ya wawili wapenzi. Taswira ya ko Edeni, nelezeni walokwako. Wetu Mola naamini, naye Hawa alikwako. Sikizeni kwa makini, na Adamu sokimako. Harusi si wingi, ya wawili wapenzi. Kiunganishi maombi, naye Mola ni shahidi. […]

HEALTH LIFESTYLE POEM

SHAIRI : MENO KIJANI

Kwa weledi napekua, na kunena hadharani. Wengi wao tajutia, kutafuna yo majani. Bora hasa kufikiria, na kutazama usoni. Meno yao kijani, ati miraa starehe! Wamejaa kotekote, vikundini tawakuta. Basi huu ni upwete, miti hii ni matata. Ombi lao ni wapate, hawajui watajuta. Meno yao kijani, ati miraa starehe! Wamejaza mifukoni, miraa ati ni raha. Yafikie […]

POEM

HOTELI YA KIFAHARI.

Hoteli zipo nyingi, lakini hii nasifia. Wanotamani ni wengi, walau kuifikia. Vyakula navyo vingi, tamaduni asilia. Hoteli ya kifahari, ni Makongo narudia. Makueni yatajika, ipo kando barabarani. Ukiwa hapo umefika, utapata burudani. Yapendeza kwa hakika, itafute mitandaoni. Hoteli ya kifahari, ni Makongo narudia. Manthari yake kijani, yang’aa kama nyota. Wote nyinyi karibuni, vyakula mtapata. Karibu […]

POEM

JOSPHAT LAKA: HAWA WASOJIAMINI

Kizuri nacho nasema, chajiuza tunajua. Kibaya nacho waama, chajitembeza sikia. Kwa muda menisakama, kombora naachilia. Hawa wasojiamini, vipodozi tegemeo. La hasha sitoghairi, afadhali nifichue. Nachomoza kimahiri, jumbe huu wafikie. Miili yao waathiri, mwenye sikio asikie. Hawa wasojiamini, vipodozi tegemeo. Nyuso nyeupe nyepesi, ngozi yao kama nyungu. Wamejawa wasiwasi, hawaogopi Mulungu. Wazusha timu mafisi, haya ndio […]

MOTIVATION POEM

BORA AMANI NA PENDO

Kwa muda naliwazia, nimefika hatima. Nawandikia sikia, kikadiria gharama. Hifai kupuuzia, ‘ti vita huko kazama. Bora amani na pendo, ndio wangu wosia. Tu mandugu sisi sote, na katu msivamie. Amani iwe ni kote, umoja tutazamie. Haipo faida pote, kuua ndugu azimie. Bora amani na pendo, ndio wangu wosia. Adui wetu mmoja, korona njaa umaskini. Waendapi […]

GOSPEL POEM

NJOO UONE

Tumaini lako nini, Mali fedha na majumba?Wengi wapo karantini, wengine kwenye majumba. Wala kesho hatuoni, kila mara tunaomba. Njoo uone, kwamba Yesu yu mwema. Bibilia humo ndani, akaandika tuone. Tufungue zetu mboni, tuisome na tupone. Tusikwamie dhambini, Mungu wetu ni mnene. Njoo uone, kwamba Yesu yu mwema. Hakuna hasha dhamani, vyote sasa ubatili. Twaishi kwa […]